Mi nimenyimwa bwana,sijui kwakua nimeomba nikiwa tayari nimekwisha soma mwaka wa kwanza naingia wa pili, kama kuna taarifa kuhusu majina ya awamu ya pili tujuzane jamani ili nikae nasubiri hayo mengine...kama watakua wamekula ka 30000 kangu bas tena no way out ntakomaa na maisha yangu ya bila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.