Recent content by David Nyantora

  1. David Nyantora

    Waziri Nape Nnauye asema bei ya internet imeshuka wakati wa Rais Samia ukilinganisha na Machi 2021

    anatuletea siasa eti viwango vimepunguzwa ,waache kutuvunja mbavu zetu tushawachoka tiyare kama mb ndo zinazidi kushuka wakati wa mzee elf 3 nilikua napata gb3 sasa hivi napata gb 1.5 alaf anasema nini
  2. David Nyantora

    TCRA: Sasa vifurushi vimerudi kama awali

    ACheni uongo hamna kilichobadilika voda na tigo bado vifurushi vipo vile vile acheni kutufanya wajinga
Back
Top Bottom