Kama kweli Lowasa ni mhusika wa ufisadi mahakama zilikuwepo hawakumshtaki. Au walisubiri mahakama ya mafisadi!!! Mahakama ni ileile tu kuwa ya mafisadi ni jina tu. Majaji walewale. Hakuna jipya hapo. Watakaopelekwa ni wadogo wadogo tu
Mtashangaa mahakama hii ya mafisadi inakosa kesi za kuamua. Maana nani atasimama kumshitaki nani kwa ushahidi gani usiomhusisha mshitaki kama mhusika wa ufisadi. It is more political rather than a pure will
Freelancer are you serious. Hivi kwa tatizo kubwa kama hili you just simply say " mashoga hawana Shida kwa usalama" hii nchi ina watu aisee wa ajabu!!!!
Nawashangaa wanaobeza upinzani. Upinzani umesaidia sana kuifanya walau serikali iamke. Bila ya hivyo nchi hjj sijui inekuwa wapi. Ufisadi wote umefichuliwa na wapinzani, kuwajibika kote kunakofanywa sasa ni kuogopa wapinzani wasijepata nafasi. Ukweli wanasaidia.
Nimefuatilia scandal zote kubwa Raisi hajashughulika nazo. Lugumi, Escrow, IPTL, Deep Green Finance, Richmond. Hizi ndio baba wa ufisadi. Lakini Mzee wa Kaya hata kuzizungumzia tu hajawahi. Mimi naona game seriously imeshamshinda. Wasipoangalia hata mahakama ya mafisadi itakosa kesi za kuamua.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.