Naona wengi mnamponda huyu mwamba alieleta huu uzi kwa me naona sio vibaya kuwa na mawazo ya kutaka kuthubutu kujaribu jambo hata kama unaweza ukawa haupo sahihi kwa namna fulani hapa inatakiwa tuambiane ni parachichi zipi zinauzika Europe na pia mwongozo ni upi mpaka kufikia hatua ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.