Recent content by David Kilas

  1. D

    NATAFUTA BAJAJI MBEYA MJINI

    Habari...Mimi ni kijana wa kiume wa miaka 26 na ninaishi Mbeya mjini..Natafuta Bajaji kwa ajili ya kufanya kazi ya kusafirisha abiria..Hivyo kama wew mwana Jf mwenzangu una bajaji na unahitaji dereva naomba unipatie mimi hiyo kazi..Ni mwaminifu na mchapakazi...Kikawaida kila siku kwa boss...
  2. D

    Natafuta Kazi, nina shahada ya social protection

    NAHITAJI KAZI..INAWEZA KUWA YA PROFFESSION YANGU LAKINI PIA INAWEZA ISIWE LAKINI SIKU HIZI KAZI YOYOTE MTU UNAWEZA FANYA ENDAPO UTAPATA TU TRAINING SAHIHI..GENERALLY NAHITAJI KAZI YOYOTE HALALI
  3. D

    Natafuta Kazi, nina shahada ya social protection

    Habari. Naitwa DAVID BENJAMIN KILAS. Nina umri miaka 25 na ni mkazi wa Mbeya mjini. Nimehitimu chuo kikuu IFM kilichopo posta Dar es salaam na kutunukiwa degree ya Social Protection and Actuarial Studies. Baada ya kuhitimu nilifanya internship fupi ya miezi 8 na baada ya hapo nilianza...
  4. D

    Natafuta bajaji ya kuendesha Mbeya Mjini

    HIFADHI YA JAMII YANI MUASALA YA MIFUKO YA PENSHENI. MIFUKO YA BIMA ZA AFYA, MASUALA YA RESEARCH, COMMUNITY DEVELOPMENT, TAX, etc...ina wigo mpana kidogo
  5. D

    Natafuta bajaji ya kuendesha Mbeya Mjini

    Kukupigia pande wapi kaka
  6. D

    Natafuta bajaji ya kuendesha Mbeya Mjini

    Habari, Naitwa Daud Benjamin mhitimu Chuo Kikuu IFM Dar es Salaam mnamo mwaka 2019. Nina degree ya Social Protection. Kwa sasa ninaishi Mbeya. Dar es salaam nilihama kutokana na gharama za maisha kuwa juu sana na kukosekana kwa ajira. Nimetafuta ajira bila mafanikio mpaka sasa. Nilivyohamia...
  7. D

    Natafuta mtu wa kunipatia/ kunidhamini bajaji ili nifanyie usafirishaji Mbeya Mjini

    Leseni bado haijatoka ila nilishaanza mchakato wake..ila kitambulisho cha chama cha bajaji kipo kaka
  8. D

    Natafuta mdhamini wa kunipatia bajaji kwa makubaliano ya kumletea kiasi kadhaa kila siku Mbeya Mjini

    Habari.Mimi naitwa David Benjamin. NI muhitimu wa chuo kikuu IFM kilichopo Dar as salaam ambapo nilipata degree ya Social protection and Actuarial studies. Toka nimehitimu nimekua nikitafuta ajira bila mafanikio yoyote mpaka sasa licha ya kuwa na matokeo mazuri katika masomo. Nilifanikiwa...
  9. D

    Natafuta mtu wa kunipatia/ kunidhamini bajaji ili nifanyie usafirishaji Mbeya Mjini

    Ndio kaka..Kampuni nyingi za insurance hazijatoa ajira hivi karibuni na ajira chache wanazotoa nyingi zinakua na commission based salary na hata hizo waombaji ni wengi sana kwahyo Mimi bado sijafanikiwa kupata
  10. D

    Natafuta mtu wa kunipatia/ kunidhamini bajaji ili nifanyie usafirishaji Mbeya Mjini

    Naitwa Daud Benjamin. Ni muhitimu wa chuo kikuu IFM kilichopo posta Dar es salaam. Nilihitim mnamo mwaka 2019 na kupata degree ya science in social protection Niliikanaji wa ajira umekua mgumu sana licha ya kuwa na matokeo mazuri chuoni. Nililazimika kuhama Dar kutokana na ugumu wa maisha. Kwa...
Back
Top Bottom