Recent content by David Jesus

  1. David Jesus

    Wamjua kiongozi aliyeliliwa na jamii baada ya kuiletea maendeleo?

    Fuatilia utajuwa ndugu Maana tusiongee kwa ushabiki tu ila uwalisia ndivyo
  2. David Jesus

    Wamjua kiongozi aliyeliliwa na jamii baada ya kuiletea maendeleo?

    Fuatilia utajuwa ndugu Maana tusiongee kwa ushabiki tu ila uwalisia ndivyo ulivyo
  3. David Jesus

    Wamjua kiongozi aliyeliliwa na jamii baada ya kuiletea maendeleo?

    Wengi sana walimuaga kama ni asilimia ni 99%
  4. David Jesus

    Je, wajua walivyopishana mitazamo "Haki za bindamu"?

    JE, WAJUWA WALIVYOPISHANA MITAZAMO "HAKI ZA BINDAMU" ? Awali ya yote nitangulize shukrani kwa Mungu ambaye anatulinda na kutuhifadhi sisi binadamu tulio watu wake maana yeye ndiye mwamuzi wa maisha yetu Usiku na mchana. Lifuatalo ni shukrani zangu kwako msomaji na mfuatiliaji Mwenye UTU na...
  5. David Jesus

    Wamjua kiongozi aliyeliliwa na jamii baada ya kuiletea maendeleo?

    Huyo ni miongoni mwa viongozi makini, na mwenye kiu ya kuleta maendeleo JAMII ya nchi yetu Tanzania. Ndio maana nilisema mwanzo kuwa kiongozi yeyote Mwenyewe dhamana akiwa na kiu ya jambo Fulani alafu asijiangalie yeye tu katika kujinufaisha aone na kundi kubwa nyuma yake ya wale wanaomwangalia...
  6. David Jesus

    Wamjua kiongozi aliyeliliwa na jamii baada ya kuiletea maendeleo?

    Hapana ndugu nikukatishe na nikutambue tu ukweli kwamba. Unajuwa mwanzo Hata Mimi sikumuelewa niseme tu ukweli na hata haki yangu hakupata ila sikujuwa nyuma ya pazia alikuwa ni mtu/kiongozi wa namna gani. Ingawa watu wengi hatukuliona Hilo kwasababu ya GARI alilolipanda, ila baadae ya...
  7. David Jesus

    Wamjua kiongozi aliyeliliwa na jamii baada ya kuiletea maendeleo?

    Hakuna kisicho na mwanzo kikakosa mwisho. Mwanadamu siku zote haliziki anajipenda yeye tu ila ulinapotekea MTU anafanya kwajili ya mwingine/wengine ukweli huo tusiufiche wala kutoka kuufukia ila tuuseme pia, Maana hakuna MTU aliyekamilika kweli Hata wewe kuna mtu/watu hawakubali vitu...
  8. David Jesus

    Wamjua kiongozi aliyeliliwa na jamii baada ya kuiletea maendeleo?

    Hapana rafiki unajuwa kila kitu MTU akifanya kizuri ni heri ukweli tuuseme hata kama mpinzani l. Yani usiwe mpinzani kwa kila kitu ndugu yangu. Kwani DC Jokate Mwegelo hajafanya vitu vikaonekana ? Wewe ni mkazi wa wilaya gani ? Maana kweli yamkini hujui aliyoyafanya ila tunayejuwa tunakwambia...
  9. David Jesus

    Wamjua kiongozi aliyeliliwa na jamii baada ya kuiletea maendeleo?

    Ndugu sikia nikueleze vyema. Katika maendeleo siyo kweli wewe kwamba MTU akifanya biashara hasiendelee... Na kwa mtu kama huyo Mwenye kauli kama yako tayari ameshakata tamaa na akili yake imekubali bila jambo au kuwezeshwa siwezi kufanya jambo lolote la kuleta mafanikio/maendeleo. Ila ni wangapi...
  10. David Jesus

    Wamjua kiongozi aliyeliliwa na jamii baada ya kuiletea maendeleo?

    Unajuwa katika masuala ya maendeleo kuna uwanja mpana sana. Mfano tunapozungumzia maendeleo kila MTU anayahitaji Hata nikianza na wewe Mwenyewe unayahitaji na kuangaika ili ufanikiwe. Kwa hiyo maendeleo tunaanza kuyaona kwa MTU mmoja mmoja/kaya alafu tunapandangazi kiujumla sasa kuangalia...
  11. David Jesus

    Wamjua kiongozi aliyeliliwa na jamii baada ya kuiletea maendeleo?

    Ha ha ha ha ha ndiyo Maana nikatolea mfano kwa ambaye yupp hai najuwa Hata yeye ukiangalia Tangia awe waziri alisimamia vizuri na alikuwa na kiu na kuiletea marndeleo JAMII ya kitanzania. Maana aliyoyafanya ni mengi na yanazungumza na yanaonekana
  12. David Jesus

    Wamjua kiongozi aliyeliliwa na jamii baada ya kuiletea maendeleo?

    •MAENDELEO ni MAFANIKIO Jambo ambalo mtu anapambana ayafikie. •Hamu na shauku ikoje ya kupata maendeleo? Harakati zote za mwanadamu kuwa na maisha mazuri na wakati mwingine tumeyatafsiri mtu akipata chakula cha kutosha,chombo cha usafiri(baiskeli,Pikipiki,gari n.k), nyumba nzuri n.k...
Back
Top Bottom