William lukuvi ni mbunge wangu lakini namchukia anashindwa kusimamia jimbo halina hata maji,amekazana na chama.Anafikia mpaka hatua ya kumpongeza muuaji hadharani anatuzadharirisha wana Ismani hatufai kabisa 2015,jamani watu wa ismani tubadilike na tuige mfano wa iringa mjini hatumuoni Msigwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.