Recent content by davi255

  1. D

    JamiiForums Tanzania Soko la zao la muhogo

    Habar za siku nyingi wadau wa uzi huu natafuta soko la muhongo mkavu mahali mzigo upo fukayosi bagamoyo mwenye kuhitaji ipo kama Tani 3
  2. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jaguar: Wakenya kuwaondoa kwa kipigo Watanzania, Wachina, Waganda na Wapakistani nchini mwao

    Kabisa mkuu
  3. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jaguar: Wakenya kuwaondoa kwa kipigo Watanzania, Wachina, Waganda na Wapakistani nchini mwao

    Sababu tutachukua kwa ndugu zetu wengine wakina museven
  4. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jaguar: Wakenya kuwaondoa kwa kipigo Watanzania, Wachina, Waganda na Wapakistani nchini mwao

    Hiyo hatari mzee
  5. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jaguar: Wakenya kuwaondoa kwa kipigo Watanzania, Wachina, Waganda na Wapakistani nchini mwao

    Ni kweli kabisa nahic na yeye amekubwa naka Pepo fulani hivi kanakowapitia baadhi ya viongozi hapa nchini ya kuongea alafu unakuja kutafakari baadae kumbe umeongea pmb
  6. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jaguar: Wakenya kuwaondoa kwa kipigo Watanzania, Wachina, Waganda na Wapakistani nchini mwao

    Mbunge wa Jimbo la Starehe Charles Njagua maarufu kwa jina la kisanii Jaguar amesema hawataki wafanyabiashara kutoka Tanzania na Uganda kwenye jimbo lake na ameahidi waondoke la sivyo atawapiga. . "Watanzania na Wachina wanaofanya biashara Kenya, hatuwataki, tunawapa masaa 24 waondoke...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Soko la zao la muhogo

    Wapendwa poleni na kazi ningependa kupata wateja waoweza kuwa na uhitaji wa zao la muhogo ipo tayar shamba lipo fukayosi maeneo ya bagamoyo
Back
Top Bottom