Recent content by Dave

  1. D

    JamiiForums Tanzania Tpb interview

    Ndio
  2. D

    JamiiForums Tanzania Tpb interview

    Wadau mwenye update za walioitwa oral za banking operations officer
  3. D

    JamiiForums Tanzania Researchers Wanahitajika

    Mimi mwenyewe niliomba ila kimyaa
  4. D

    JamiiForums Tanzania Data entry job

    Na Mimi kiongozi naweza ni check 0714858254 Sent using Jamii Forums mobile app
  5. D

    JamiiForums Tanzania Project maalumu kuinua uchumi wa watanzania,Weka wazo lako la mradi hapa na ueleze umekwama wapi utafutiwe co-investor

    na mimi mkuu nina plan ya kuweka eneo la michezo yani mkoani nilipo players club yani mahali hapo inakua ni eneo kubwa la uwazi liko fenced kwaajili ya usalama, panakua na michezo ya kila aina inakua ni mahali pa health training fitness lakini pia wanafunzi wanaweza kuja kushindana na kujifunza...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

    mkuu Mkuu Mungu akubariki sana na me mwaka huu nataka kuanza biashara hiyo unaweza ukanisaidia contact zako ili nikija Dar tuonane sisi watu wa mkoani hatujui machimbo uliyoyataja yalipo hivo msaada wako utakua ni wa muhimu sana kwangu plzzz
  7. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya kwenye shirika au kufundisha(shule/chuo).

    Mkuu uko upande gani maana Nina wazo LA kufungua day care center nadhani nitakutafta msaada wako utakua wa muhimu sana
  8. D

    JamiiForums Tanzania List ya Business Ideas kuhusu viwanda vidogo vidogo

    hata me nakuunga mkono biashara ya kushona nguo ni nzuri hata mimi nina wazo la kufungua kiwanda siku moja
  9. D

    JamiiForums Tanzania Tanzanian entrepreneur seeking business partners

    I would also like to have a look at your business plan..
  10. D

    JamiiForums Tanzania PPF Tanzania walitangaza nafasi za kazi mbalimbali mwezi wa sita, je wameita watu katika usahili?

    Angalia Kazi bongo kuna gazeti limepigwa picha ppf interview Sent using Jamii Forums mobile app
  11. D

    JamiiForums Tanzania PPF Tanzania walitangaza nafasi za kazi mbalimbali mwezi wa sita, je wameita watu katika usahili?

    Wameita Sent using Jamii Forums mobile app
  12. D

    JamiiForums Tanzania Mwenye updates za LAPF na WCF

    mkuu umeshapiga interview maana tarehe 23 tayari
  13. D

    JamiiForums Tanzania Usaili Diamond Trust Bank

    iyo post ata me nimeomba deadline ilikua tarehe 23 me bado cjapata info yoyote
  14. D

    JamiiForums Tanzania Kunani kazi za zoomtanzania?

    luck always finds its way t o you but only if it was meant for you endeleaa tu kucheza bingo one day yes..........:cool2::cool2:
  15. D

    JamiiForums Tanzania Nitajiajiri vipi au kupata kazi, nina degree ya archaeology

    . nothing is impossible it only takes courage to give it a try; mdau wa jf me niko pamoja sana na mawazo ya wengine ila nami nina mchango kidogo nenda kwenye net google about the savage hunters hawa ni watu wanaoenda kutafuta vya zamani kwa kuchimba maeneo ambayo watu wa zamani waliishi...
Back
Top Bottom