Recent content by daudycharles

  1. D

    JamiiForums Tanzania Tusinunue bidhaa za machinga kwenye maeneo yasiyoruhusiwa

    Hilo haliwezekani
  2. D

    JamiiForums Tanzania Wamachinga wa Mwenge Vinyago kuondolewa

    Kesho tunaomba msaada wa wanahabari, kuja kutembelea wamachinga tuliopo katika eneo la mwenge vinyago, dhumuni la kuwaita ni kutoa kero zetu na uonevu wa viongozi wa maduka ya vinyago wa kutaka kutuondoa tusifanye biashara katika eneo hilo.
  3. D

    JamiiForums Tanzania Tecno W3 lite 4g

    Nauza Simu tecno W3 lite yenye 4g,iko bomba haina shida yoyote.bei 95000,mahali;dar es salaam,piga Simu 0652199902 Sent using Jamii Forums mobile app
  4. D

    JamiiForums Tanzania Wauza smartphone tukutane hapa

    Dar es salaam Sent using Jamii Forums mobile app
  5. D

    JamiiForums Tanzania Wauza smartphone tukutane hapa

    Mahali; Dar es salaam Sent using Jamii Forums mobile app
  6. D

    JamiiForums Tanzania Wauza smartphone tukutane hapa

    Nauza Simu tecno W3 lite 4g,iko poa haina tatzo,bei 95000,mawasiliano 0652199902 Sent using Jamii Forums mobile app
  7. D

    JamiiForums Tanzania Nauza mayai kienyeji/chotara

    Ubungo,piga Simu Sent using Jamii Forums mobile app
  8. D

    JamiiForums Tanzania Nauza mayai kienyeji/chotara

    Nauza mayai ya kuku chotara,bei trei Tsh 12,000.nipo Dar es salaam.mawasiliano 0652199902 Sent using Jamii Forums mobile app
  9. D

    JamiiForums Tanzania Tunauza maziwa fresh bei poa

    Habari wakuu,tunauza maziwa fresh kabisa,bei Tsh 1800 kwa lita moja.nipo maeneo ya Dar es salaam-Changanyikeni near ubungo.karibuni sana
  10. D

    JamiiForums Tanzania Asali Mbichi

    Unauzaje dumu la lita 20
  11. D

    JamiiForums Tanzania Nauza kuku

    Changanyikeni karibu na chuo kikuu UDSM
  12. D

    JamiiForums Tanzania Nauza kuku

    Nauza kuku chotara wana miezi sita,jogoo wapo 7,majike yapo 23,bei kwa jogoo Tsh 18000,jike Tsh 13500,nipo dar es salaam,0652199902
  13. D

    JamiiForums Tanzania Soko la mayai ya kuku kienyeji

    Sawa mkuu
  14. D

    JamiiForums Tanzania Soko la mayai ya kuku kienyeji

    Ndio mkuu yana kiini cha njano,karibu
  15. D

    JamiiForums Tanzania Soko la mayai ya kuku kienyeji

    Habari zenu, Natafuta soko la kuuza mayai kienyeji, mimi ni mfugaji mdogo, kwa sasa kuku wangu wanataga mayai 8-9 kwa siku, bei yai moja ni Tsh 400. Kwa aliyeko karibu nami naweza kumletea. Nipo changanyikeni karibu na na chuo cha UDSM. Simu 0652199902
Back
Top Bottom