Recent content by DAUDI YOHANA

  1. DAUDI YOHANA

    Usiiharibu tabia yako kwa mazungumzo yako

    Biblia inatufundisha kuwa Mazungumzo mabaya ndiyo yanayoharibu tabia njema ya mtu. 1Wakorintho 15:33 “Msidanganyike; Mazungumzo mabaya huharibu tabia njema”. Maandilizi ya dhambi karibia zote yanaanzia katika “mazungumzo”.. wanaopanga kuua wanaanzia na mazungumzo, wanaopanga kuiba wanaanzia...
  2. DAUDI YOHANA

    SoC03 Uchambuzi: Namna ambavyo ubovu wa mifumo endeshi ya kiutawala inavyofifisha utawala bora na namna ya kuuendea utatuzi wake ili kuleta mabadiliko

    Andiko limesheheni na linajieleza kwa ustadi mkubwa, I wish VIONGOZI wa umma wangelisoma Ili liwachome na wabadilishe mienendo yao Kwa ajili ya Tanzania Bora. HONGERA kaka Kwa makala hii fupi but full of content!!!
Back
Top Bottom