Recent content by daudi Tandila

  1. D

    JamiiForums Tanzania Lema awataja Mawaziri wanaomtukana Rais Samia

    Nenda YouTube
  2. D

    JamiiForums Tanzania Mashirika na Taasisi za Umma zinazostahili kufutwa na zile zinazostahili kuunganishwa

    Naunga mkono REA na Tanesco waunganishwe. Aidha tarura iunganishwe na tanrod
  3. D

    JamiiForums Tanzania Kuuliza si Ujinga; Maharage Chande anafanya biashara gani na TTCL? Kwanini Biashara hiyo inafichwa?

    Ruhusa hiyo ndo inalitafuna Taifa letu Kwa Sasa!
  4. D

    JamiiForums Tanzania Kuuliza si Ujinga; Maharage Chande anafanya biashara gani na TTCL? Kwanini Biashara hiyo inafichwa?

    Hakuna Siri ya nyoka bhana! Vinginevyo atakujeruhi mwenyewe.
  5. D

    JamiiForums Tanzania Kuuliza si Ujinga; Maharage Chande anafanya biashara gani na TTCL? Kwanini Biashara hiyo inafichwa?

    Sasa mbona huyu anajulikana? Ila mwiko uko Kwa Maharage tu?
  6. D

    JamiiForums Tanzania Kuuliza si Ujinga; Maharage Chande anafanya biashara gani na TTCL? Kwanini Biashara hiyo inafichwa?

    Mambo mengine yote umetupasha vema. Lakini kama sheria Iko hivo, kwanini utoe angalizo la 'kupotezwa' tunapotaka kujua jambo kama hili? Yaonyesha Kuna udanganyifu mwingi katika biashara zifanyikazo ndani ya mashirika yetu ya umma kupitia watumishi wetu wa umma! Kama hawataki kujulikana biashara...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Mjue Eugene Maganga mhusika wa njama za kuipindua Serikali ya Rais Julius Nyerere Januari 9, 1982

    Rubani wa Helikopta nilifanya nae kazi!
  8. D

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi wa Tanzania takribani 2000 walifyekwa na majeshi ya Idd Amin; huo ndio ulikuwa mwanzo wa vita ya Kagera

    Nyerere na Obote walisoma pamoja Chuo kipi? Nyerere alianza kusoma Makerere Mwaka 1943 akisoma Diploma ya Ualimu. Wakati Huo Obote Alikuwa darasa la nne kwao Lira, kaskazini mashariki mwa Uganda. Maana alianza shule darasa la kwanza Mwaka 1940, akaenda Gulu Junior Seminary. Kisha akaenda Soroti...
  9. D

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi wa Tanzania takribani 2000 walifyekwa na majeshi ya Idd Amin; huo ndio ulikuwa mwanzo wa vita ya Kagera

    Pamoja na kashfa na matusi lakini Mimi nitakujibu kistaarabu tu! Kilichosaidia Watz wasife wengi vitamini Uganda ni Ile taaluma ya kutopigana vita vya kufuata Barabara tu! Majeshi ya Uganda yalifuata Barabara wakati wa kusonga mbele na kupigana. Watz waliingia Hata maporini! Mfano mzuri ni Hii...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Hili hapa chimbuko la Mkataba 'tata' wa Bandari, hawa wanacho cha kutueleza!

    Mbona tuliambiwa Timu ya kujadili mikataba ya serikali itasimamiwa na Prof Kabudi, mbona Tena akachukuliwa mtu mwingine nje ya timu kujadili mikataba ya serikali?
  11. D

    JamiiForums Tanzania Hili hapa chimbuko la Mkataba 'tata' wa Bandari, hawa wanacho cha kutueleza!

    Ile Negotiation Team ya serikali inayoongizwa na Prof Kabudi na wenzake mbona haijaonekana kushiriki kwenye maandalizi na majadiliano ya awali ya mkataba Huu?
  12. D

    JamiiForums Tanzania Majeshi yetu yana Maoni gani kwenye Sakata la Bandari?

    Wameapa kuilinda katiba na kumtii Rais na Amiri Jeshi Mkuu ambaye ndiye Rais wa JMT. Uamuzi atakaotoa watautii!
  13. D

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mzee Kikwete hakumteua Luteni Jenerali Gideon Sayore kuwa Mkuu wa Majeshi?

    Mwamunyange alikuwa CofS nadhani aliachwa na Waitara yeye akawa CDF!
  14. D

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi wa Tanzania takribani 2000 walifyekwa na majeshi ya Idd Amin; huo ndio ulikuwa mwanzo wa vita ya Kagera

    Ninyi Vijana acheni kudanganywa! Hata ukisoma vitabu vilivyoandikwa Kuhusu vita ya Uganda, takwimu kama Hizo hazimo. Aidha Ukienda pale Kaboya kwenye makaburi walipozikwa wanajeshi waliokufa vitani Uganda, takwimu Hizo hazipo. Wanajeshi waliokumbwa na uvamizi ule, maili 10 kutoka mpaka wa...
Back
Top Bottom