Recent content by daudi samson mwalusamba

  1. D

    Kutoka Ikulu: Ushiriki wa sekta binafsi katika Tanzania ya viwanda, Mengi akosoa ukadiriaji kodi kandamizi wa TRA

    Ni kweli kabisa, kwanza tuangalie washindani wetu wakuu Africa mashariki wanatoza namna gani, vat ya Kenya na tz ikoje. Indicater moja no kwanini bidhaa za Kenya zipo kwa wingi kuliko zetu na being rahisi.
  2. D

    RPC Gilles Moroto: Tunasikitishwa na dereva wa Tundu Lissu kutoonyesha ushirikiano kwa jeshi hadi sasa

    Dreva hajasomea Intelijensia, polis wamekaa wanasubiri wasiojulikana watokeze, utawapata wapi?
  3. D

    Hongera Spika Ndugai kwa kurudisha hadhi na heshima ya bunge

    Wanaosema ndiyo ndiyo, ndiyooooo. Ccm,ccm,ccm
  4. D

    Nyalandu azidi kumpigania Lissu, kuangalia uwezekano wa kupata rufaa ya matibabu Marekani

    Nyarandu huo ndiyo utumishi, umekwenda kumwona, pia umechukua hatua Mungu akubariki sana
  5. D

    Wameuawa Polisi 10 Viongozi wa vijiji 30 na Raia 3 huko Kibiti,Ikwiriri na Mkuranga..Wanaharakati kimyaaa!

    Watanzania wanaouwawa niwengi sana, na ni muda wa miaka kadhaa sasa, watanzania tunalia na kutiwa hofu, lakini jibu ni moja, watu wasiojulikana, au Vijana wahuni, au watu wenye hasira. Maneno hayo yamekuwa mwiba mkali sana kwa Taifa, hebu angalia, watu wanapatikana kwenye viroba, hakuna...
  6. D

    Madaktari waliookoa Uhai wa Tundu Lissu

    Mpoki mmeokoa maisha ya kipenzi cha watanzania, BWANA YESU AWALINDE MSIINGIE MAJARIBUNI Sent using Jamii Forums mobile app
  7. D

    Hali ya Bulaya bado tete baada ya kuhamishiwa Muhimbili

    Damu ya Yesu itanponya. Waliotenda hivyo Mungu awasamehe Sent using Jamii Forums mobile app
  8. D

    Ikulu kuingilia mgogoro wa Cuf

    Robin Mwakipesile Sent using Jamii Forums mobile app
  9. D

    Tetesi: Majadiliano ya Makinikia: Tanzania inapumulia mashine

    Wavivu wa kufanya kazi wanasubiri vya wazungu. Sent using Jamii Forums mobile app
  10. D

    Magufuli avuruga mchoro wa Lowassa na CHADEMA!

    Hongereni sana kwa kumsemea magu. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. D

    Diwani Bananga wa Sombetini Arusha: Kwanini CHADEMA wanamuunga Uhuru Kenyatta

    CDM, ndicho chama kinachowaumbua wanafiki na maajenti wa makinikia. Mnajipambanua kwa uizi wa kura, subiri kichapo kinakuja. CHADEMA, INASONGA MBELE Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom