Recent content by Dastan Kweka

  1. D

    JamiiForums Tanzania Leaders and the Arrogance of Power in Tanzania

    AshaDii, Zakumi and Mchambuzi, Please allow me to give my insight as to why China isn`t interested in internal politics in most African countries. Basically, Mchambuzi has given historical reasons, especially with China-Africa forum. Thus, ideological as it may be,China began offering...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Jambo Usilolijua: Kambona -"Nyerere... Baba wa Taifa"; Hotuba yake tuliyoisahau

    Mwanakijiji, Binafsi kwa muda sasa nimekua nikiasa kuwa kuna haya ya `kumfufua` kambona katika historia ya nchi hii. Upotoshwaji uliofanywa kwa makusudi ni lazima usahihishwe. Kuna mengi chanya ambayo ni funzo kwa vizazi vya leo na hata kutoka kwa kiongozi huyu mzalendo. Kwanini kumfufua...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Leaders and the Arrogance of Power in Tanzania

    Mchambuzi, Hoja yangu ya msingi ni kuwa uwezekano wa kuifanya aid ifanye kazi upo. Kama una vongozi wenye vision na wazalendo inawezekana. Ni kuwa na mpango wa maana na masharti thabiti tuu. Kwanza,hakuna kuchukua misaada inayopingana na vision husika kwa kuwa na masharti yenye hadaa...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Leaders and the Arrogance of Power in Tanzania

    Mchambuzi, Nashukuru kwa jibu lako. Mengi tunakubaliana ila kuna jambo la msingi ambalo nilisisitiza. Nalo ni kuwa mhimili wa Rushwa,kismsingi umehama kutoka katika Misaada na kuingia katika extractive industry na military procurement. Kumbuka manuzuzi ya jeshi yana usiri mkubwa sana. Kuhama...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Leaders and the Arrogance of Power in Tanzania

    Dear Comrades, I feel compelled to respond to some of the arguments raised. But before i do it,i suggest that we use Kiswahili. Fortunately, i wrote a peace about Aid and corruption in Tanzania following a provocative article by Comrade Zitto (Mb). I may also speak a bit about the source of...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Tofauti ya propaganda za enzi za Mwalimu Nyerere na hizi za leo!

    Nimefuatilia mjadala kwa makini sana. 1 Tofauti ya propaganda daima iko katika lengo lake. Utawala wa Nyerere haukuwa wa ubinafsi(kujilimbikizia) kama huu tulio nao sasa. Lengo la propaganda za wakati ule lilikua kufinyanga fikra na matamanio ya watu. Lilikua ni kujenga imani katika mfumo...
Back
Top Bottom