Thanks very much watu wengine wanadhani mimi natania lakini hawajui uchungu wa kutafuta elimu sio rahisi kuweka information zangu zote mtandaoni lakini mimi niko serious natafuta kazi kwa ajili ya kusaport elimu yangu nimejieleza hapo vizuri tu kwania njema ila watu wengine wameshaanza kuniita...
MIMI NI BINTi MWENYE UMRI WA MIAKA 28 NI MWANACHUO
NATAFUTA KAZI YEYOTE AMBAYO ITANIINGIZIA KIPATO NITAKACHO KITUMIA KWA NAULI, STATIONARIES NA CHAKULA NATOKA CHUO SAA 6 MCHANA BAADA YA HAPO NAKUA FREE MIMI NI MPISHI MZURI SANA NA MWEPESI WA KIJIFUNZA PIA NAWEZA KUFANYA KAZI KWA BIDII NA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.