Recent content by Darvon

  1. Darvon

    Jiandae kisaikolojia unapoamua kumpiga Mama Watoto.

    Ni kweli mambo ya kupigana ni ya kizamani sana, na moja kwa moja ni lazima yataleta mtawanyiko kwenye familia.
  2. Darvon

    Jiandae kisaikolojia unapoamua kumpiga Mama Watoto.

    Umeielewa vibaya post mkuu, ninahimiza wanandoa wasipigane wataleta mtawanyiko
  3. Darvon

    Jiandae kisaikolojia unapoamua kumpiga Mama Watoto.

    Upo sahihi kabisa ila ninaamini kuwa wanaompenda mama kuliko baba ni wengi zaidi! Tena hasa zama hizi za kuwa social father[emoji1] Kuna uzi humu unauliza Una uhakika gani u mtoto wa baba yako?
  4. Darvon

    Jiandae kisaikolojia unapoamua kumpiga Mama Watoto.

    Hahaa sawa kabisa ikiwezekana hiyo sheria iweke kabisa kabatini ili uichukue kukiwa na uhitaji sana.
  5. Darvon

    Jiandae kisaikolojia unapoamua kumpiga Mama Watoto.

    Hao itabidi tuje tuwafungulie uzi wao mkuu[emoji1] Huwa unapigwa nini?
  6. Darvon

    Jiandae kisaikolojia unapoamua kumpiga Mama Watoto.

    Wapo mkuu wanaompiga mwanamke bila sababu ya kueleweka. Dunia ni pana sana kama huko uliko ni shwari kuna upande mwingine tabu na mateso ni kila siku.
  7. Darvon

    Jiandae kisaikolojia unapoamua kumpiga Mama Watoto.

    Kikubwa hapa nilichomaanisha ni kuwa katika mazingira ambayo yanajionesha kuwa mzazi wa kiume anakosea sijaja na mifano kwa sababu hawachelewi kusema imenikuta [emoji1]. Sijaileta ikiwa kama tukio likiwa na maana ya kushambulia mzazi wa kiume, na kutetea upande fulani wa mzazi wa kike. Kuna...
  8. Darvon

    Je, unakumbuka nini enzi zako za JKT? Ni mambo gani yalikufurahisha au kukukwaza?

    Hahaa kijiwe cha taka nimekikumbuka tumelala sana pale mkuu [emoji1]. Yule chacha hafai kabisa kuna kipindi alinipiga stick za mgongo acha kabisa yule jamaa mpaka kesho simpendi kabisa.
  9. Darvon

    Jiandae kisaikolojia unapoamua kumpiga Mama Watoto.

    Kipigo kwenda kwa mama kutoka kwa baba aliyelewa kwa starehe zake kuja kusumbua familia? Nadhani hujanipata vizuri kuwa ninaongelea katika hali gani! Ukirejea uzi wangu nimesema watoto wakiwa wakubwa wakitambua unamuonea mama yao!!! Pombe ulewe wewe ukirudi nyumbani ufikie kupiga watu. Pesa...
  10. Darvon

    Jiandae kisaikolojia unapoamua kumpiga Mama Watoto.

    Namaanisha line ya mwisho uliyomalizia ndio maana nikasisitiza kwa namna ambayo watoto wakiwa tayari umeshakwenda wanafahamu kuwa linalotendeka ni kosa.
  11. Darvon

    Je, unakumbuka nini enzi zako za JKT? Ni mambo gani yalikufurahisha au kukukwaza?

    Hahaaa mjinga sana yule alituumiza kweli kweli anasimulia polepole wakati watu tunaumia. Kama ulikuwa danger coy unanifahamu Katika list ya madoja tatu bora nilikuwa sikosi!
  12. Darvon

    Jiandae kisaikolojia unapoamua kumpiga Mama Watoto.

    Kumbe unaongelea watoto mkuu? Hao wa kukaa nao sebuleni kwako kuangalia mpira wa miguu? Kumbuka kuwa kuna mambo yatawapasa wavumilie kwa kuwa wapo chini ya dari lako. Ni mara ngapi ulivumilia usiyoyapenda kwa sababu ya hali fulani?
  13. Darvon

    Jiandae kisaikolojia unapoamua kumpiga Mama Watoto.

    Kuna mambo ambayo hutaweza kuyakiri ila unafahamu fika kuwa upendo wa mtoto kwa baba na mama haufanani iwe katika namna ya malienge/ chongo / kawaida. Hii ni hali halisi ambayo ipo kwenye maisha wala sio ya kufikirika. Kama watoto ni wadogo haitakuwa na shida sana, ila kama ni watoto wakubwa...
  14. Darvon

    Jiandae kisaikolojia unapoamua kumpiga Mama Watoto.

    Umekadiria visivyo mkuu, huu ni uzi tu hauna muunganiko na maisha yangu kwa ujumla. Ni uzi wenye ukweli ambao wengi wa wakina baba ambao wametenda twndo kama hilo watakua ni wagumu kukubali jambo kama hilo lipo. Bado sijaona mtoto mwenye kufurahia baya linalomkuta mama yake. Kuhusu suala la...
  15. Darvon

    Jiandae kisaikolojia unapoamua kumpiga Mama Watoto.

    Hapo sawa sawa mkuu, ndipo maana nikasema kuwa tuchukue tahadhari sana maana kama familia imeshakuwa kubwa inapaswa itumike busara ya hali ya juu. "You are the only stranger to the family you call its yours" in Bujibuji voice.
Back
Top Bottom