Recent content by darock

  1. D

    Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    Jamani nisaidieni kupata mfugaji anaeuza mayai ya kuku wa kienyeji..ninahitaji mayai urgently...tray20 tu kila wiki..pls yeyote anaeweza kuniunganisha na mtu huyo...
  2. D

    Psychic Powers: Ni nguvu za kufanya miujiza. Wengi wanazo bila kujitambua. Je, wewe unazo?

    Mfano...mimi nimejigundua nikiwa mtu wa ibada sana...mtu mwenye pepo hanikaribii...au kama nyumbani kwangu kuna mtu kavamiwa na pepo litakimbia maana nashtukia mtu analia akisema anaungua na anaondoka..nikimgusa tu ndio balaa...nikikemea kwa jina la Yesu linaondoka fasta.... Lakini...
  3. D

    Psychic Powers: Ni nguvu za kufanya miujiza. Wengi wanazo bila kujitambua. Je, wewe unazo?

    Jamani Yesu alisema tutafanya miujuza mikubwa tena na zaidi aliyofanya yeye....does it mean wale mitume walikua na nguvu za giza? Hii mada tuiangalie vizuri na kwa hekima...ni kweli nguvu za giza zipo na nguvu za Nuru zipo.... Mfano... Kuna nguvu ya utambuzi kwa pande zote mbili,nguvu ya...
  4. D

    Freemasons Inside - Out: Who are they? How they operate? How to join them?

    Jamani hao freemasons na sisi watenda dhambi nyingine...moto ni ule ule...kwa Sir God dhambi zote sawa...so think before u judge!
Back
Top Bottom