Recent content by Darlis2016

  1. D

    Naomba kujua dawa ya Malaria inayofaa kwa Mama anayenyonyesha

    Habari wakuu, Samahani naomba kujua ni dawa ipi ya kutibu Malaria inayoruhusiwa kutumiwa na Mama anayenyoshesha? Natanguliza shukrani zangu za dhati kwenu.
  2. D

    Dawa nzuri ya mafua kwa mtoto mchanga wa wiki mbili

    Asante sana mkuu ,Mungu akubariki kwa ushauri mzuri, nitazidi kuuzingatia
  3. D

    Dawa nzuri ya mafua kwa mtoto mchanga wa wiki mbili

    Hii nimeambiwa eti haifai kwa mtoto ambaye hata mwezi hajafikisha.
  4. D

    Dawa nzuri ya mafua kwa mtoto mchanga wa wiki mbili

    Habari za leo ndugu zangu, Naomba msaada kwenu Doctors wa kufahamishwa dawa nzuri ya mafua kwa mtoto mchanga wa wiki mbili toka amezaliwa. Mafua aliyonayo mwanangu hayatiririki Ila yanamsumbua sana hasa akiamka usingizini anapata wakati mgumu sana. Kuna Doctor alinishauri nimnunulie Nasal...
  5. D

    Kimo cha mimba kuwa tofauti na umri wa mimba kuna madhara yoyote?

    MREJESHO: KIMO CHA MIMBA KUWA TOFAUTI NA UMRI WA MIMBA . Ndugu zangu, wiki kadhaa zilizopita nilileta Uzi huu, kiukweli nawashukuru sana maana asilimia kubwa nilifuata ushauri wenu na hatimaye Jana mke wangu aliumwa uchungu nikamuwahisha hospitali na hatimaye Leo mida ya saa mbili asubuhi...
  6. D

    Majina ya Kikristo ya mtoto wa kike yanayoanza na herufi B

    Habari wanaJF Leo natarajia kupata mtoto wa kike, hivyo naomba msaada wenu wa majina yanayoanzia na herufi B. Nataka nipate jina linaloanza na herufi B kwa sababu mwanangu wa kwanza pia jina lake linaanza na herufi B, anaitwa Beatrice. Naomba msaada wenu tafadhali.
  7. D

    Kimo cha mimba kuwa tofauti na umri wa mimba kuna madhara yoyote?

    Wilbert1974, Hapana mkuu hakuambiwa hivyo
  8. D

    Kimo cha mimba kuwa tofauti na umri wa mimba kuna madhara yoyote?

    Glenohumeral joint, Unamaanisha nini hapa mkuu?
  9. D

    Kimo cha mimba kuwa tofauti na umri wa mimba kuna madhara yoyote?

    Amesema huenda ni mapacha ila wife akijiskia vibaya siku yoyote apelekwe hospital
Back
Top Bottom