Habari zenu Wana JF,
Natumaini ni wazima, naomba msaada jamani, nina asali lita 8 nmetoa Tabora. Lita 5 nimeijaza kwenye chupa zile ndogo za konyagi ( 200Ml) imebaki lita 3, sasa naona nimekosa njia sahihi ya kuziuza maana sina duka.
Na nilitegemea niuze online lakini mambo naona hayajakaa...
Habari zenu Wana JF , Natumaini ni wazima.
Nilikuwa naomba msaada wenu , niko na vito aina ya Green Garnet (Tsavorite), Sasa Nlitaka kujua Napataje soko la kuuza hivi vito ! Maana viko vingi anaefahamu Madalali au watu wanao husika na haya mambo msaada tafadhali.
Ahsanteni .
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.