Safi mkuu naomba nitumie kilichopo ntashukuru sn,naomba pia utupie kwenye uzi wa kaka shimba najua wahitaji tupo wengi.
Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
Wakuu hivi ni kweli Tanzania hakuna softcopy za s chand,maana nazisaka za physics na pure math,lakini mrejesho umekuwa mdogo.kina kaka enginear hebu fungukeni mmezificha wapi?,au mnapunguza namba za mainginear automatic? ,msaada kwa alienacho kati ya hivyo au vyote.
Sent from my SM-J410F using...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.