MK ndugu yangu, sasa mmeshabishana vya kutosha naomba kama unaweza achana na hii topic sababu sasa unatuletea hata madhara sisi wa hilo kabila. Naona vijana wa mzee wanataka kukukomoa na kwa wewe kuwa mstari wa mbele na hili uswahili unaleta - more than + kwetu sisi. Nadhani umenipata.
If U...
Mk, nimekuwa nasoma habari hapa siku zote na kwa kweli nakupongeza kwa juhudi zako kudai haki na kuleta maendeleo Tanzania.
kwenye hili suala ndugu yangu punguza jazba, wenye mpini hii ni issue yao kubwa sana. Utaisaidia nchi yako kwenye mambo mengi lakini ningekuwa wewe hili suala...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.