Rejea na mada tajwa hapo juu wadau wa jamii nilipotelewa na vyeti vyangu vyote vya taaluma pamoja na lessen ya uuguzi nikiwa nasafiri kutoka Dar nikiwa naelekea kufanya usahili wa ajira za serikali ila kufika Tarime nikapotelewa na vyeti vyangu vyote vya taaluma ikiwemo na leseni ya uuguzi na...
Habari wana JamiiForums, naitwa Robi Daphane Ngabiya tafadhali nimepotelewa na vyeti vyangu original vya taauluma kwenye vigari vidogo aina ya probox mnamo tarehe 20 -7-2024 lilikuwa linatoka Tarime mjini kwenda Sirari
Cheti cha Form 4, Cheti cha diploma nursing Transcript yake, Cheti cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.