Poleni ndugu wote wa Yahya Hussein; lakini pia hao wanaosema eti kesho ndo mwisho wa dunia si kweli. Hakuna mwisho wa dunia. Je, mwisho wa dunia kivipi? Je, ni mwisho wa sayari hii au ni maangamizi kwa viumbe wa dunia?
Wazungu ni waongo, kwani maangamizi pekee ya dunia yatatokana na sayari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.