Recent content by dannio7

  1. dannio7

    JamiiForums Tanzania Mungu yupo, Moto upo na Pepo ipo (majibu)

    Hataki achunguzwe ila anapenda kusifiwa na kutukuzwa harafu watu huwa hawaoni kama huo ni udhaifu mkubwa. Yaani kama kuna vitu vimeiharibu dunia basi huyu mungu ni wa kwanza. Kama hizi dini zisingekuepo kuna matatzo fulani yangepungua ulimwenguni. Yaani tungabaki kupambana na vitu vingine vya...
  2. dannio7

    JamiiForums Tanzania Kuna watu wanalia wengine kufurahi lakini ujue Mungu ndie mpangaji wa yote haya

    utamlaumu bure huyo mungu wa kufikirika mkuu, mazuri na mabaya yote ni nature ya universe kikubwa watu tutimize wajibu wetu na tupendane ili kuifanya dunia iwe sehemu salama kuishi, otherwise kila mtu apambane na hali yake!
  3. dannio7

    JamiiForums Tanzania Oparesheni za Kijasusi zilizofanikiwa zaidi katika Historia

    The bold ni tag pia sehemu ya nne
  4. dannio7

    JamiiForums Tanzania Paji la uso na siri ya jicho la tatu

    Ifanye hii iwe thread, ili users wengi waione mana ina detailed information nyng na muhimu. ikbak kama comment sio rahisi kuipata
Back
Top Bottom