Recent content by Daniels16

  1. Daniels16

    JamiiForums Tanzania Watu wote mnaomuamini Mungu mje, nina swali kwenu 😢

    Yeye mwenyewe aliamuru watoto wasio na hatia wauwawe kwa kukatwa katwa kama nyama (1Sam 15:3). Pia aliwauwa mwenyewe watoto wasio na hata hadi watoto wa wafungwa kwa kosa farao ambaye ni yeye mwenyewe alikuwa anamshika mawazo yake kwa kumfanya awe mkaidi makusudi, na wengi wengine kwa maji...
  2. Daniels16

    JamiiForums Tanzania Briffault's Law inasema Mwanamke hawezi kuwa na mahusiano ya aina yoyote na mwanaume kama hafaidiki

    Mtaalamu anakukataa, tafiti zake hazihusiani na binadamu
  3. Daniels16

    JamiiForums Tanzania Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Umejaribu kulinganisha kiasi cha data MB/GB kilichopimwa na kifaa chako kikawa ni tofauti na kile kinachopimwa na Airtel/Vodacom? Kwenye simu/tablet kuna sehemu ya kukagua matumizi ya data (mobile data usage) au unaweza kupakua app inayoweza kukupa summary kwa urahisi. Kisha ukakuta data...
Back
Top Bottom