Recent content by Danieli Shuma

  1. Danieli Shuma

    JamiiForums Tanzania Mama wa Rayvany anauza mbogamboga na Mama wa Martha anauza Juice. Maisha ya wasanii ni magumu sana

    Maagano yao wanayoingia ni mabaya sana
  2. Danieli Shuma

    JamiiForums Tanzania Maamuzi ya kucheka au kulia yanatoka wapi?

    Kwanza Mungu si kama sisi wanadamu, kwamba ety, ukimuomba akupe kicheko atarudi kuangalia uliowaumiza, Nop. Tunaumiza na kuumizwa na wengi, lakini si sababu ya kuto kupata kicheko au kuomba kicheko kwa Mungu.
  3. Danieli Shuma

    JamiiForums Tanzania Tujihadhari na huu utapeli unaofanywa mitandaoni na watu wanaojifanya eti ni mawakala wa makampuni ya simu

    Daaaaah! Ina maana bado mnatapeliwa na akili mnazo.
Back
Top Bottom