Wanawake lakini ni dhaifu , angalia nyoka tu alimpiga sound Hawa hadi akakubali kula tunda alilokatazwa na Mungu.Na nyoka wa zamani walikuwa kiboko, walijua hata lugha ya Kiarabu maana kule Eden ni Urabuni .
Simu zote za wizi mafundi wana uwezo wa kubadili IMEI namba kwa jinsi wavyotaka.Kuna simu nyingi ambazo zimeharibika na hazitengenezeki lakini zinazo IMEI.Mafundi hua wanabadilisha namba wanatoa namba za imei kwenye simu mbovu na kuziingiza kwenye simu za wizi.Ndio maana zoezi la kutokomeza wizi...
SEKTA YA AFYA YAVAMIWA NA “VIWAVI JESHI”
Kila binadamu anahitaji kuwa na afya njema ili aweze kuishi maisha marefu yenye furaha na fanaka. Afya maana yake ni hali ya kutokuwa na ugonjwa kimwili, kiakili, kiroho na kijamii.
Wizara ya afya ndio pekee iliyopewa jukumu la kusimamia afya za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.