mababu zetu jamani waliishi kwa raha sana tofauti na ezi zetu
1 walikua wanakula chakula org
2 walikua hawawazi pesa kama sisi
3 waliishi maisha malefu sanaaa
4 walikua awana wivu
sisi sasa
1 mtu anawaza hela mbaka anataka kukanywagwa na gari duuu
2 tunapenda sitarehe kuliko vipato vwetu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.