Recent content by Daniel kilolah

  1. D

    JamiiForums Tanzania Kufa kwa biashara ndogo ndogo Tatizo ni nini?

    Write your reply...Sababu in nyingi zinzochangia kufa kwa biashara Tz na duniani.#1 Afya in jambo muhimu sn ktk ukuaji was biashara mahari popote-watu wako rafu na afya zao hasa nyakati ambapo kipato kinaongezeka.#2Nidhamu ktk matumizi ya pesa .#3Kukosa elimu ya ujasiliamali na biashara yaani...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Viatu vyamtumba kwa belo

    Write your reply...Kwanza kbs nikupongeze kwa kuthubutu.Biashara ya Viatu inalipa sana km uko serious.Jambo LA maana anza kwa mile ulichonacho na jiamini utaweza.Laki mbili ni pesa ndefu sn km utaamua kuvumilia.Nasema hayo kwasababu ninauzoefu ktk biashara hii kwa muda sn. Nina option 2 juu yako...
Back
Top Bottom