Recent content by dancher

  1. dancher

    JamiiForums Tanzania Aliyepo Mpanda Katavi naomba anijuze moja na mbili za mkoa huu

    Iko wapi hiyooo
  2. dancher

    JamiiForums Tanzania Voda Bima ni zaidi ya Utapeli

    Pole mkuu ila check me dm tuone namna ya kusaidiwa
  3. dancher

    JamiiForums Tanzania Voda Bima ni zaidi ya Utapeli

    Yote yanalipwa isipokuwa maradhi ya mlipuko na kansa
  4. dancher

    JamiiForums Tanzania Voda Bima ni zaidi ya Utapeli

    Fuatilia kila mmoja huzungumza lwake watu wanalipwa mkuu
  5. dancher

    JamiiForums Tanzania Voda Bima ni zaidi ya Utapeli

    Mbn ziko wazi na mteja anaelezwa kabla ya kujiunga Mfano Exclusions Kansa, korona kipindu pindu Maradhi sugu fidia ni miezi 6 Maradhi mengine ni mwezi mmoja baada ya kujiunga
  6. dancher

    JamiiForums Tanzania Voda Bima ni zaidi ya Utapeli

    Utaratibu uko wazi wamefuata utaratibu wa kisheria kupitia trusted distribution channel na watu wengi wanalipwa claims zao mbona
  7. dancher

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Inafikirisha sana AU wapo kimya kama mgogoro huu upo nje ya bara la Africa n then we expect kumaliza neo colonialism never Kwa Hali hii kuruhusu machafuko ndani ya Africa hafu baadae ndio wafanye resolution Kwa nn wasizuie kwanza inafikirisha sana Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums...
  8. dancher

    JamiiForums Tanzania Kilichopo nyuma ya mzozo wa Niger vs ECOWAS, EU na Nigeria

    Hapa ndio utaaona udhaifu wa AU kuruhusu nchi chini ya umoja wake kupigania duh inafikirisha Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
  9. dancher

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Mkuu Kuna sehemu hapo imeandika ameomba mkuu uweke google translator then uone kma Kuna ombi hapo Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
  10. dancher

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Mungu akusamehe kijana unaifahamu sana Russia Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
  11. dancher

    JamiiForums Tanzania Bima ya afya NHIF ya mtoto ambaye yupo chuo, mwenye miaka zaidi ya 21

    Hivi NHIF bima binafsi huwa inakatwa Kwa kiasi gani au Kwa tsh ngapi? Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
  12. dancher

    JamiiForums Tanzania Tuelewane: Urusi inapigana na Ukraine tu, sio West, Marekani au NATO

    Usibishane na watu wasio jua vizr cold war na causes the wwi unajua Kuna mtu anaandika unahisi fikra zake ni fupi sana tena sana tuna safari ndefu sana koz Hawa Hawa wanaoandika Wanataka kuwa viongozi na wao inafurahisha sana
  13. dancher

    JamiiForums Tanzania UPDATE: Vitoto vya nyoka nyumbani kwangu

    Naomba tenda ya kukufanyia furmigation my no is 0746111608
  14. dancher

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Kwani hii ni Kwa Urusi tu kipindi Cha counteroffensive mbn askari wa Ukraine walifanya hivo Kuna aliyewachukulia hatua?
  15. dancher

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Mzee usiumize nguvu zako Kuna watu hawaifahamu hata kambi ya mazimbu morogoro [emoji849][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Back
Top Bottom