Recent content by Dan Muhina

  1. Dan Muhina

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda amtaka mwandishi kumuuliza mama yake baada ya kumhoji tuhuma za kumshambulia Lissu

    Silly question for the Silly answer!
  2. Dan Muhina

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Bukoba Mjini, haya maduka ya 'CCM HQ' yaliyopo SIDO yatakuangusha

    Unaweza kuwa na hoja nzuri ukashindwa kuitengenezea Facts! Vibanda unavyovizungumzia ni Mali ya CCM Mkoa! Kwa namna yoyote ile Mbunge hahusiki wala CCM Wilaya hawahusiki! Jambo la Pili Vibanda hivyo vilijengwa kwa Makubaliano Kati ya CCM Mkoa na wafanya Biashara kwa Mikataba Maalumu! Hakuna...
  3. Dan Muhina

    JamiiForums Tanzania Uongozi mpya wa UVCCM mkoa wa Dar es Salaam unavimelea vya udini, taifa tunalipekeka wapi?

    Hoja Muflisi! Kabisa, unataka kusema kuwa hata Wapiga Kura wote waliowachagua hao Viongozi ni wa Dini Moja?
  4. Dan Muhina

    JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri katika Ufunguzi wa Kampeni za Chama cha Mapinduzi (CCM) - Uwanja wa Jamhuri, Dodoma (Agosti 29, 2020)

    JPM ndiye Mgombea Pekee akilala usingizi anao uhakika kuwa anaendelea kuongoza Tanzania wakati wengine wote wanaigiza
  5. Dan Muhina

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mwigulu Nchemba: Rais wetu ni Magufuli, waambieni waliowatuma enyi wenye tamaa ya Madaraka

    Upo Sahihi Mh Mwigulu! Hao Vibaraka hawawezi kututisha we are Sovereign Country! Wasubiri maumivu October' "The Comrades "
  6. Dan Muhina

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mnyika: Uchaguzi 2020 mawakala kutopewa fomu za matokeo

    Mlizoea kunywa Juice Ikulu! Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Dan Muhina

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mnyika: Uchaguzi 2020 mawakala kutopewa fomu za matokeo

    Akusamehe wewe ambae by October hutokuwa na Mbunge hata mmoja Bungeni Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Dan Muhina

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mnyika: Uchaguzi 2020 mawakala kutopewa fomu za matokeo

    Tume ya Taifa ya Uchaguzi ndiyo yenye mamlaka ya maandalizi na Usimamizi wa Uchaguzi! Tuiachie Tume ifanye kazi, matokeo tutayapata 2020 Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Dan Muhina

    JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo Katiba ya CHADEMA inavyosema kuhusu Wabunge wake kuchangia chama

    Msijitoe ufahamu! Lijua Likali amehoji matumizi ya fedha hizo zilizodaiwa kuwa kwenye fixed account pamoja na matumizi ya Ruzuku aidha Kuna hoja ya mtuhumiwa kuitwa na kuhojiwa na kujieleza kwa maandishi ndani ya Siku 14 kabla ya kupewa adhabu hiyo hamjaiona siyo? Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Dan Muhina

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba, umechagua strategy mbaya kurudi ulingoni

    Matarajio yako nini? Madelu asipandishwe wadhifa? Umeumia alivyoteuliwa? Ulifurahia alipoondolewa kwenye Uwaziri? Nikwambie Madelu bado kijana and good enough ume declare kuwa yupo smart kichwani kwa umri wake bado ana ndoto nyingi! Muache apige kazi hata jeshini Kuna kitu kinaitwa kitendo cha...
  11. Dan Muhina

    JamiiForums Tanzania Serikali: Idadi ya wagonjwa wa Corona nchini Tanzania imeongezeka na kufikia Sita(6)

    Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imekanusha muda huu kuwa huo ni uzushi hakuna jambo kama hilo Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Dan Muhina

    JamiiForums Tanzania Badilikeni, leo ni Siku ya Wanawake Duniani, siyo Siku ya UWT

    Acheni Wivu wa Kijinga Mlimani City Bawacha na Mbowe wanafanya nini? Au Mbowe nae Siku yake Leo? Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Dan Muhina

    JamiiForums Tanzania CCM mkimaliza kununua viongozi wa Upinzani tujuzeni. Tunataka kusuka kikosi upya

    Kama mna wachezaji ambao wapo tayari kununuliwa kama mnavyodai poleni sana! Kabla ya kuivamia CCM nawashauri mrekebishe mambo madogo madogo kwenu, ujenzi wa Ofisi za Chama Wilayani na Mikoani,Posho kwa watendaji wenu wa ngazi angalau Mikoa na Wilaya, Uwazi wa matumizi ya ruzuku,Uwazi wa...
  14. Dan Muhina

    JamiiForums Tanzania Kitendo cha kiongozi wa nchi kuzuiliwa kuingia Marekani kina athari gani? Ni adhabu?

    Makonda ni Kiongozi wa Nchi gani? Sent using Jamii Forums mobile app
  15. Dan Muhina

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini Baraza Kuu la CCM liliwaita na kutaka kuwahoji akina Membe na kumwacha Musiba?

    Baraza Kuu la CCM ndio nini? Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom