Recent content by damy P

  1. D

    JamiiForums Tanzania TCU yatoa majina ya waliopata vyuo raundi ya kwanza ya udahili

    subiri round ya pili
  2. D

    JamiiForums Tanzania MSAADA APPLICATION CUHAS[BUGANDO]

    kuna option ya kuedit
  3. D

    JamiiForums Tanzania MSAADA APPLICATION CUHAS[BUGANDO]

    awajapatikana pengine lbd mpk jtatu siku ya kazi,kama io C inakua general hakuna haja ya kumwambia mtu yuko qualified for application afu mwsho wa siku anapokua anachagua course mambo yakua tofauti inakua hakuna haja ya kumwambia mtu yuko qualified sasa kwsbb ukijiuliza kama course selection...
  4. D

    JamiiForums Tanzania MSAADA APPLICATION CUHAS[BUGANDO]

    yaani pamoja na mwaka kua tofauti lkn bado nina meet minimum entry requirement
  5. D

    JamiiForums Tanzania MSAADA APPLICATION CUHAS[BUGANDO]

    course niliyochagua ni medical laboratory science ambayo cut off zake ni sita na ata kabla sijafika kwenye course selection unaingiza kwanza index number ya f4 na f6 then matokeo yanakua displayed na point zake ivyo kama uko qualified system inasema pale pale na ndvy ilivyotokea kwangu nina...
  6. D

    JamiiForums Tanzania MSAADA APPLICATION CUHAS[BUGANDO]

    asante mkuu lkn namba zao hazipo
  7. D

    JamiiForums Tanzania MSAADA APPLICATION CUHAS[BUGANDO]

    JAMANI MSAADA WA KIMAWAZO NIFANYEJE,NINAFANYA APPLICATION BUGANDO KWA LEVEL YA BACHELOR DEGREE LKN NIMEKUTANA NA CHAGAMOTO,MWANZO SYSTEM ILINAMBIA NIKO QUALIFIED FOR APPLICATION KWA JUMLA YA POINT SITA BAADA YA KUJAZA INDEX NUMBER YA FORM SIX LKN NILIVYOFIKA KWENYE COURSE SELECTION SYSTEM...
  8. D

    JamiiForums Tanzania APPLICATION FEES,2019/2020

    jibu swali
  9. D

    JamiiForums Tanzania APPLICATION FEES,2019/2020

    logic
  10. D

    JamiiForums Tanzania APPLICATION FEES,2019/2020

    tofauti ya mwaka sio hoja,ok fine basi nambie ni kwann imekua ivyo sababu ya msingi ni ipi?application fees ya mwaka jana na mwaka huu zitofautiane??
  11. D

    JamiiForums Tanzania APPLICATION FEES,2019/2020

    UNATAKA FREE VOCHA ET EH
  12. D

    JamiiForums Tanzania APPLICATION FEES,2019/2020

    SI KWELI
  13. D

    JamiiForums Tanzania APPLICATION FEES,2019/2020

    iv huu ndo utaratibu gani kila chuo mwaka huu kina application fee yake kwa wale wanaoomba bachelor degree,CUHAS[bugando] application fee Tsh 30000,kcmuco[kcmc] application fee Tsh 50000,MUHAS application fee Tsh 10000,UDSM Tsh 10000,mwaka jana kiongozi mkubwa wa serikali atoa maagizo appliction...
  14. D

    JamiiForums Tanzania Nisome Diploma ipi Kati ya hizi

    kwann radiology??
Back
Top Bottom