Jamani vijana wa Tz tuamke! Ni vijana wamemwondoa Mubarak wa Misri. Nina plan ya kuandaa maandamano siku ya maadhimisho ya miaka 50 Tz,kupinga kutoona manufaa yoyote na uhuru tuliopata,ni wachache wameufaidi. Nawaombeni support. Tena nahisi matokeo ya uchaguzi(rais) 2010 yahesabiwe upya japo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.