Nauli weka elf50
Kulala elf 45
Kula elf 15
Total laki Moja na elf10
Ongeza Hela ya emergency kama elfu30 au elf40
JUMLA walau uwe na 150k ndo utaenda bla stress
Kwa maan nenda Rudi weka elf50
Kulala cku tatu Kwa elf 45 au uktafta ndan ndan elfu 30
Kula ukinyima buku tatu Kwa siku JUMLA elf9
Nauli ya kutoka ulipo kwenda sehem ya usail elf 5
Daaa nmejarbu kubana budget ukienda uishi kigumu Zaid unaweza kutoboa
Lkn kusiwe na emergency ya chochote.
Labda hajiamin na kile alichokisomea.
Interview ni njia rahis kupata Kaz Kwa mtu mpambanaji ilimrad kusiwepo upendeleo na uwazi wa interview.
Mbona amesoma bachelor nzr tu Tena yapo mashirka ambayo yanatoa asali nzr kwahyo ajipange tu kufanya usail asiogope..
Tofaut na hapo kusbr ajira za...
Iko hiv...Kuna baadhi ya kada ambazo unakuta uhitaji ni mdogo na watu waliosoma hyo kada ni wengiii..
So Ili kufanya fair ni lazma nafas zitangazwe watu wakashndane kwenye usaili.
Atakaefanya vzr bas ndo atakaepata nafas.
Kwasababu haiwezekan na haitakuja kutokea serkali kuajir watu wote hyo...
Madaktari na Manesi wanaoajiriwa Moja Kwa bla interview ni zle nafas zinazotolewa na serkal kuptia Tamisemi au wizara ya afya
Kwa waalimu ni tamisemi tuu
Lakini hao hao madaktari Manesi na waalimu wakitafta kuajiriwa kwenye taasis za kiserkal zinazojitegemea ni lazma wafanye interview..
Tena...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.