Recent content by DAMA2025

  1. D

    JamiiForums Tanzania Yericko ogopa sana teknolojia. Njoo ujisahihishe hapa

    Yeriko ni mwepesi sana kichwani kama Steven Nyerere. Wote hawa ni low battery, ndio maana wanatumia majina ya watu. Anapenda kujipambanua kuwa ni mwandishi wa vitabu kumbe kilaza mkubwa.
  2. D

    JamiiForums Tanzania Ni vyuo gani vya Nje ya Tanzania ni vizuri kwa Kozi ya Afya?

    Ingia AI uliza, the best university for medicine in USA, Canada, UK, and Australia.
  3. D

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbowe Usikubali Kuachia Chama Ulichokipigania Kwa Jasho, Damu na Fedha kwa Mhamiaji wa NCCR-Mageuzi, kama ni rahisi Akaanzishe Chake

    Thread kama hii in a implications kwamba hapa Tanzania vijana wengi hawajui vision wala mision ya vyama vya siasa. Wanajua vision na mision ya vyama ni maslahi na project za watu. Lakin kumbe vyama vya siasa ni msingi mkubwa wa Taifa kupata viongozi bora wa kuliongoza Taifa. Na hata katiba...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Hivi Tundu Lissu haoni hatari inayomnyemelea pamoja na maonyo yote? Mungu pisha mbali, anajiamini nini wakati anapambana na viumbe wasio na huruma?

    Du!! kwa hiyo hao wauaji wana collabo na cdm? mm najua yeye anataka u chairman wa cdm.
  5. D

    JamiiForums Tanzania Jenerali Ulimwengu: Nyerere alikuwa Mwenyekiti wa CCM tangu 1954 hadi 1990, Mbowe Cha Mtoto mnamuonea Bure!

    Kwa hiyo Ulimwengu hata akiongea pumba, kwa kuwa anapenda kuropoka basi mnaona ni point. Huyu Ulimwengu kaongea pumba kubwa sana. Huyu mzee kwanini hataki kukaa kukaa kimya?Ananijiaibisha sana, akili imedepreciate tayari. Mwalimu alikaa muda, mrefu kwa kuwa kulikuwa hakuna wasomi, hakuna...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Hakuna Rais wa Tanzania aliyewahi kumteua Joseph Sinde Warioba kuwa Jaji wa Mahakama yoyote hapa nchini, awe mkweli asipotoshe

    Hawa watu JF ingekuwa inawapiga ban completely kwa kuwa wanakuja humu kutuonyesha umbumbu wao. Jaji Sinde Warioba , mwaka 1996 mpaka 1999 aliteuliwa na mahakama ya bahari ya Hamburg kuwa jaji kule German. Huyu ni jaji wa kimataifa sio wa connection na uchawa. JF anzeni kuangalia elimu na uelewa...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Njooni tusemezane. Sheria gani inakataza watu kuchangishana? Waziri Mkuu yupo sahihi kumkamata Niffer?

    Hata kama hakuna sheria hiyo ni dhahiri kuna deficit kubwa ya matapeli kuwaibia wananchi. Sasa sheria hiyo itatungwa na bunge na matapeli watadhibitiwa. Cloud waliibia sana watu wakati wa maafa kilosa. Acha kutetea wezi kwa kutumia loop holes za kijinga na kipumbavu. Be serious and smart guy.
  8. D

    JamiiForums Tanzania Askofu Mwamakula: Janga la Kariakoo sio kubwa kama La utekaji

    Kwani huyu ni Askofu wa kanisani au wa vyama vya siasa.
  9. D

    JamiiForums Tanzania Tuache upotoshaji; Deo Bonge alikuwa anakamatwa sio kutekwa

    Kwa hiyo ww mtekaji umekuja hapa k kujitetea?? Hakika mistahili ya Bible kuwa watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa ilimaanisha Tanzania. Kuna watu wajinga na wapumbavu sana kama mtoa thread huyu. Kama alikuwa, anakamatwa, mbona kituo cha police au jeshi la police halina taarifa.? Stupid na...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu nenda taratibu, tumia hekima na busara kumaliza tofauti zako na Freeman Mbowe. Vinginevyo mnaiua CHADEMA

    Sasa chama ambacho mwenyekiti ni wa kudumu, na fikira zake za wizi zitadumu.
  11. D

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mwalimu Nyerere, pamoja kupewa PhD 23, tuzo lukuki, usomi na weledi vyake hakuwahi wala kupenda kuitwa daktari? Je, aliogopa au hakujua?

    Na ww pia umekosa wazo la kuanzisha thread. Kwani ukiitwa Dr na usiitwe Dr itakuwa umepata au umekosa nn? Tujaribu kujadili au kuanzisha thread za maana zenye impact kwa issues za kitaifa. Mfano kikwete kuiba gesi mtwara.
  12. D

    JamiiForums Tanzania Haitatokea mwana-CCM jasiri na shupavu kama Marehemu Kachelo Membe 2025

    Tanzania tunapenda kusifia hata vitu visivyo na maana.Yaan we are not only less developing country but underdeveloped country.
  13. D

    JamiiForums Tanzania Njombe inaaminika na nchi kwa Kutoa Katibu Mkuu Kiongozi. Imetoa watatu kwa awamu tofauti za Marais

    Okay!! Sawa!! Toka waanze kupatikana makatibu wakuu kutoka huko Njombe, tumepata nn cha maendeleo?
Back
Top Bottom