Recent content by DALOOKER

  1. D

    Ushauri juu ya tatizo la kutowaka kwa gari linapokua limepata moto

    Hivi inawezekana gari ya kizamani kiasi hicho ikawa na sensor za kupelekea stata kuwa nzito
  2. D

    Ushauri juu ya tatizo la kutowaka kwa gari linapokua limepata moto

    Habari, nina changamoto ya gari (tipa, isuzu, double diff tani 10 , engine dizel ya v10). Gari in inawaka vizuri tu ikiwa imepoa ila ikisha tembea na kupata moto, gari haiwaki inakua nzito kuwaka. Stata inakua nzito kuzungusha injini, yani ina zungusha injini taratibu mno kama betri hazina...
  3. D

    Uelewa juu ya biashara ya kirikuu ilipo fikia kwa Dar

    Habari zenu wadau .Ningependa kufahamu kwa wale amabao bado wana fanya biashara ya kirikuu(carry) (nikimaanisha kumpa dereva alete hesabu) 1. kama hii biashara bado inalipa au ni mauza uza tu? 2. Kwa wale ambao bado ina walipa mnafanyaje ili kufanikisha hii shuguli? 3. Hesabu siku hizi ni sh...
Back
Top Bottom