Recent content by dallahone

  1. D

    JamiiForums Tanzania Urusi sasa kujikita Tanzania, yapanga kujenga mtambo wa Nyuklia Tanzania

    Huu ni mradi mzuri sana endapo tutakuwa makini wakati wa makubaliano, kuwa na nuclear reactor kwa ajili ya utafiti ni kitu kizuri sana ambacho kitaifanya tanzania kuwa kituo kikuu cha utafiti wa kinyuklia kwa nchi za afrika mashariki na kati, hapo kutakuwa na gunduzi mbalimbali hasa katika tiba...
  2. D

    JamiiForums Tanzania CISA (Certified Information Systems Auditor) Review Classes Linaanza January 2016

    Habari mkuu, nimekuwa naona mnaendesha hizi kozi kwa mikoa ya Dar, Arusha na Mwanza. Vp mikoa kama Mbeya maana huku pia tupo watu wengi ambao tupo tayari kusoma ila tu tunakosa hiyo nafasi. Tafadhali naomba mfikilie kuja hapa Mbeya kwakuwa ni mkoa wenye watu wengi na fursa nyingi sana...
  3. D

    JamiiForums Tanzania TCRA wana magical button ya kuswitch off simu zote feki au tunapeana presha tu?

    USITUME IMEI NAMBA YAKO, UTAKUWA SALAMA!
Back
Top Bottom