Recent content by Dalin

  1. D

    Mwanafunzi, weka swali linalokusumbua ili walimu na wazoefu wakusaidie

    . Swali:: MENTION THE TEACHING OR INSTRUCTIONAL THEORIES THAT INSISTS ON THE USE OF CONCRETE OR REAL OBJECTS TO ENHANCE LEARNING/ FOR EFFECTIVE TEACHING AND LEARNING PROCESS.
  2. D

    Mwanafunzi, weka swali linalokusumbua ili walimu na wazoefu wakusaidie

    1. With vivid examples, mention the roles of art in the development of African Nationalism. 2. With vivid examples, mention the roles of racism in the development of colonial economy in South Africa.
  3. D

    Msaada kwa mwaka wa masomo 2016/2017 kilimo/general agriculture

    Una Una apply kupitia NACTE then utapangiwa Chuo cha kwenda. Unaomba then unasubiri selection. Chakufanya, utunze email yako na password yako, utakuwa unatembelea profile yako Mara kwa Mara coz wataandika andika comments zao. Then mwishoni Chuo ulichopangiwa kitaandikwa humo humo kwenye profile...
  4. D

    Hebu angalieni hili kuhusu kusomea Ualimu wa Shule za msingi 2016/2017

    Tatizo hujajibu swali umewekatu mbwembwe zako. Check; wewe umependekeza kozi vizuru tena nikafrah kukupata mtu kama wewe ILA umeharibu apo ujajibu swali , umetoa maelezo ambayo hayajajibu swali. Don't speak too much, or less than it is required.
  5. D

    Hebu angalieni hili kuhusu kusomea Ualimu wa Shule za msingi 2016/2017

    H Hayo yote uliyoyasema mbona nayajua kitambo. Leta habari Mpya,, mbona hayo nayajua @ tmadunimusic
  6. D

    Hebu angalieni hili kuhusu kusomea Ualimu wa Shule za msingi 2016/2017

    Vipi kuhusu ajira za hizi course? Zipo zipo au? et Tamadunimusic
  7. D

    Hebu angalieni hili kuhusu kusomea Ualimu wa Shule za msingi 2016/2017

    H Ahahahahaaa...... ... Ta Kamugisha. Acha hizo.
  8. D

    Hebu angalieni hili kuhusu kusomea Ualimu wa Shule za msingi 2016/2017

    Kwenye guidebook ya NACTE, wameandika kuwa kuomba ualimu wa shule za msingi mwisho ni wanafunzi wenye division three tu. Sasa mimi nina division four ya point 26 na rafiki yangu ana point 27. Tunawaza kulipia hela ya maombi ili na sisi tuombe Labda tutachaguliwa kwa bahati. Kwa anayefahamu...
Back
Top Bottom