Kwenye guidebook ya NACTE, wameandika kuwa kuomba ualimu wa shule za msingi mwisho ni wanafunzi wenye division three tu.
Sasa mimi nina division four ya point 26 na rafiki yangu ana point 27. Tunawaza kulipia hela ya maombi ili na sisi tuombe Labda tutachaguliwa kwa bahati.
Kwa anayefahamu zaidi kuhusu hili atusaidie jamani. Je, kwa division four zetu tunaweza kuchaguliwa au tutajihangaishatu na kupoteza hela? Kwasababu gharama ya maombi Ni alfu 20.
Tusaidieni jamani kwa anayeelewa zaidi.