Recent content by Daka Moro

  1. Daka Moro

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Unaitwa Namuimbia
  2. Daka Moro

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Kuna wimbo unaimbwa - iyeelele mama iyele mama wee. Kama kuna memba ataupata,asante
  3. Daka Moro

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Mwenye wimbo wa vijana jazz unaimbwa Malaine m
  4. Daka Moro

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Mwenye wimbo wa Malaine Malaine kumila imibhalagha pabhwegi bhwabhanino
  5. Daka Moro

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Mimi ninao shida kuuweka hapa
  6. Daka Moro

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Namwingine akinitafutia wimbo huu Mungu ambariki sana.unaimbwa-hoi hoi hoi parapanda italia- ni sauti za wadada
  7. Daka Moro

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Mungu akubariki sana ndugu
  8. Daka Moro

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Jamani mwenye wimbo- penzi la ndoa nitamu halina kificho.nahisi Caz T naye yupo anaimba na mdada.nautafuta sana
  9. Daka Moro

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Ntashukuru sana mkuu
  10. Daka Moro

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Kuna wimbo unaimbwa penzi la ndoa ni tamu Caz t kashirikishwa- mwenyenao tafadhari.mwingine unaimbwa-ukiona panafuka moshi ujue pana moto
  11. Daka Moro

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Kuna wimbo unaimbwa- Mama mdogo alinichukua kijijini,alimuahidi mambo mengi Dada yake,kwamba atanisomesha- chorus- kama una pesa oya oya nitumie nauli nirudi Nyumbani,mwenye nao jamani
  12. Daka Moro

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Ndio wenyewe
  13. Daka Moro

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Unaitwa Nilikupenda sana,umeimbwa na The Mushroom
  14. Daka Moro

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Mimi natafuta nyimbo mbili lakini sijui zinaitwaje na wala kaimba Nani.mmoja una kipengele kinaimbwa_ Mjini umekuja juzijuzi kwenu ulikuwa unafuga mbuzi.sikujua kuwa ni nuksi mpenzi umemkuwadia mdosi._mwingine kuna kipengele kiko hivi= Hoi hoi hoi mimi naliaa Hoi hoi hoi parapanda italia...
  15. Daka Moro

    Kuku kuvunjika mguu

    Ana umri wa miezi nane.ndo ameanza kutaga.nihawa Kuku wekundu
Back
Top Bottom