Mimi ni binti mwenye miaka 26, makazi yangu Dar nina Diploma ya uhasibu na uongozi wa vyama vya ushirika.
Kwa sasa nasoma bachelor ya BA evening programme mwaka wa 2, kwa sasa nafanya kazi ya kujitolea katika ofisi za vyama vya ushirika za wilaya kwa miezi sita sasa.
Nalileta kwenu wadau swala...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.