Recent content by Dagaa Tonge

  1. D

    Marekani anauza Nini mbona amemuacha mbali sana China Kwa GDP

    China hata lugha inamuangusha, cz kingereza kinazugumzwa sehemu nyingi
  2. D

    Maandamano yaanza kwenye majimbo yote 50 Marekani kupinga utawala wa Donald Trump

    Democrat ndo waliyataka wangeweka mgombea mwanaume manywele asingetoboa hakika, watu walikosa alternative.
  3. D

    Kwanini uliamua kurudi nyumbani?

    S.Aleykum , Bwana asifiwe. Tafadhali mada hapo juu yahusika. Niko America mwaka wa pili huu nimejifunza mengi kwa kweli- a)Bila kazi hakuna maisha, kazi ndo itakuwezesha kumudu gharama za food, cloth, shelter. B)Bila Saving hutoboi hata wao wenyewe wanakwambia saving ni kitu cha...
Back
Top Bottom