Recent content by Dadio

  1. Dadio

    INAUZWA Car parking shade

    Nauza shade kwa ajili car parking. Lina mita 4 kwa 6 linatosha kwa gari moja. Linafaa kwaa ajili ya kuzuia jua. nilinunua kubwa likabak. Nauza lote lak 3. Nicheck 0713401812
  2. Dadio

    Nauza shade kwa ajili ya car parking

    Hili linatosha kwa gari ndogo moja
  3. Dadio

    Nauza shade kwa ajili ya car parking

    Nauza lak 3 kwa lote
  4. Dadio

    Nauza shade kwa ajili ya car parking

    Hyo lak 9 umepata wap mkuu sijataja bei hyo
  5. Dadio

    Nauza shade kwa ajili ya car parking

    Ndcho kilichikuwa kmebak
  6. Dadio

    Nauza shade kwa ajili ya car parking

    Nauza kitambaa tu.
  7. Dadio

    Nauza shade kwa ajili ya car parking

    Wadau nauza shade mita 4kwa 6 fund alizidsha vipimo hivyo limebakia kubwa sana. Unaweza litumia kwa ajili ya car parking au sehemu ya kupumzika ni nzur sana. 0713401812
  8. Dadio

    NYUMBA YA VYUMBA VIWILI NA SEBULE PAMOJA NA CHUMBA NA SEBULE ZINAPANGISHWA MAENEO YA SAVEI

    Mkuu nyumba zipo nying syo moja. na huwa situmii madalali sku zote.
  9. Dadio

    NYUMBA YA VYUMBA VIWILI NA SEBULE PAMOJA NA CHUMBA NA SEBULE ZINAPANGISHWA MAENEO YA SAVEI

    170,000/- chumba na sebule . 250,000/- vyumba viwili sebule
  10. Dadio

    NYUMBA YA VYUMBA VIWILI NA SEBULE PAMOJA NA CHUMBA NA SEBULE ZINAPANGISHWA MAENEO YA SAVEI

    Kuna nyumba mbili zinapangishwa maeneo ya savei dk 5 toka mliman city. Nyumba moja ina vyumba viwili na sebule choo na sehemu ya kupikia. Kodi 250,000/- kwa mwezi na nyingne ni chumba na sebule jiko na choo chake bei yake ni 170,000/= maji yapo 24/7 gari zinafika had kwako. Hakuna dalali...
  11. Dadio

    Mwenye uzoefu na Toyota Raum new model

    Hyo gar ni nzur sana. Hutojuta mawese inatumia kdg tuu. Kama unaweza nunua. spea kibao. Tatzo la umeme ni kwa sababu mlango wake mmoja ni wa umeme lakn haina shida unaweza itumia sana
  12. Dadio

    Toyota voltz

    Wakuu salama? naombeni kujua hasa kwa wale ambao walishaitumia tyt voltz. Vipuri au spare parts zake znapatkana na kama znapatkana bei ipoje? vp hii gar mara nying ina mata tzo gan? Nawategemea asaten
  13. Dadio

    Natafuta nyumba ya kupanga

    Haina udalali
  14. Dadio

    Natafuta nyumba ya kupanga

    Ipo ya vyumba viwili choo na sebule na parking mpaka mlangon. Dk 6 tokea mlman city. Bei lak3 kwa nwez.
  15. Dadio

    Toyota premio new model mwaka 2006.

    Hyo ni cc ngap? mbona bei yako haina tofaut na show room wakat ushatumia? DFJ
Back
Top Bottom