Recent content by Dadeq

  1. D

    JamiiForums Tanzania Kada wa CCM amwambia wazi rais Samia, haogopi kutekwa wala haogopi mtu

    Badili jina, usijiite mkweli
  2. D

    JamiiForums Tanzania Hivi BOT Mnasubiri Nini Kuweka Picha Ya Rais Samia katika Noti Zetu? Mnataka Taifa lifanye Maandamano yasiyo na kikomo?

    Naendelea kumlaumu Mzee Mwashambwa, ni kwanini hakupiga nyeto akakumwaga bafuni? Aliona raha kukojoa ndichi. Shida hii.
  3. D

    JamiiForums Tanzania Ni vigumu CHADEMA kuleta mabadiliko nchi kwa sababu ya udini

    Wanachaguliwa kwa dini au kwa sifa?
  4. D

    JamiiForums Tanzania Ndani ya Saa 48 Mtoto Wa Diamond Na Zuchu Achangiwa Mamilioni Ya Pesa Kuzidi Walizopata CHADEMA kwa karibu Mwezi Mzima

    Mshamba ongea kuhusu ufisadi, huduma mbovu n.k. Jikite pia kushauri
  5. D

    JamiiForums Tanzania Ndani ya Saa 48 Mtoto Wa Diamond Na Zuchu Achangiwa Mamilioni Ya Pesa Kuzidi Walizopata CHADEMA kwa karibu Mwezi Mzima

    Kumsaidia huyu kiumbe ni kuacha kujibu takataka zake. Kwanza hajui hata kuandika, qnaandika vitu vireeefu, havina maana
  6. D

    JamiiForums Tanzania Ndani ya Saa 48 Mtoto Wa Diamond Na Zuchu Achangiwa Mamilioni Ya Pesa Kuzidi Walizopata CHADEMA kwa karibu Mwezi Mzima

    Bao lililomleta mshamba, mzee wetu mpendwa alitakiwa a cash out
  7. D

    JamiiForums Tanzania Ndani ya Saa 48 Mtoto Wa Diamond Na Zuchu Achangiwa Mamilioni Ya Pesa Kuzidi Walizopata CHADEMA kwa karibu Mwezi Mzima

    Sijasoma takataka ya ndani, nimesoma tuu kichwa cha takataka hii. Muhimu tuu kujua nani anawqchangia chadema na nani wanamchangia mtoto wa Jonasi
  8. D

    JamiiForums Tanzania CCM ni kama ngozi ya Mwanadamu ambayo huwezi kuichuna na Mtu akabakia mzima na hai. Hakuna Tanzania bila CCM madarakani

    Embu Fikiria Tanzania ingekuwa katika hali gani kama isingekuwepo CCM madarakani? Watu wangeishi Maisha ya namna na aina gani kama siyo CCM? Hii paragraph ndio ya muhimu sana. Ungeishia hapa watu wakupe majibu
  9. D

    JamiiForums Tanzania Nielimishwe: Je, Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ukivunjika baadhi ya mikoa ya Tanganyika ni himaya halali ya Zanzibar?

    1964 , Zanzibar na Tanganyika, nchi mbili huru zilizokuwa na mipaka yake ziliungana. Hiyo inatosha kukupa jibu kuwa kama muungano ukifa Kila mtu anabaki na chake, Zanzibar ikiwa ni pemba na unguja na Tanganyika eneo lote la Tanzania bara. Kuhusu mipaka ya kizamani za ukoloni, hiyo achana nayo...
Back
Top Bottom