Recent content by dadamkali

  1. dadamkali

    JamiiForums Tanzania Mapinduzi ya Kijeshi yadaiwa kupangwa kutokea Congo Brazzaville. Serikali yakanusha

    Sidhani... Tungelipata habari sasa. Kwa kusoma siasa za Congo-Brazza, iko tofauti sana na nchi zingine kwenye Sahel au Gabon, n.k. Nguesso (and company) amekitisha Congo-Brazza shwari kwa muda mrefu. Sio tofauti sana na Musevini huko Uganda. Tuwe makini kwa uchunguzi za habari. Mbadala ni kusoma...
  2. dadamkali

    JamiiForums Tanzania Huku TANESCO wameshakata vipi huko?

    Gizanesco! 😂 Nadhani kuna vipengele mbalimbali. Matatizo ni mengi, haswa miundombinu imezeeka saanaa kwa siku za kisasa. Unadhani ni ukosaji wa mvua/maji kama wanavyoripoti kwa habari kama Reuters? Au siyo? https://youtu.be/1J_4G_ZYuZk?si=wPQ823K-CZwxotJj
Back
Top Bottom