Recent content by Dada Choleta

  1. D

    Wadau wenye uzoefu na biashara ya mafuta ya alizeti kutoka Singida nijuzeni kuhusu hii biashara

    😀😀😀😀...nipo vizuri ndugu ninaye na Roho wa Mungu pia,, Asanteee, ubarikiwe. Singida ntatia timu asee,,
  2. D

    Wadau wenye uzoefu na biashara ya mafuta ya alizeti kutoka Singida nijuzeni kuhusu hii biashara

    Asante ndugu controla, ninaweza kum PM, nashukuru unaonekana una hofu ya kiungu na Moyo wa upendo, MUNGU AKUBARIKI MNO MNO,, hata nimejaribu kupitia post zako kweli n za hekima, ubarikiwe mno mnooooo QUOTE="CONTROLA, post: 36580795, member: 567367"] Dada Choleta kapatikana mtu hapa,Njia ya PM...
  3. D

    Wadau wenye uzoefu na biashara ya mafuta ya alizeti kutoka Singida nijuzeni kuhusu hii biashara

    Asante Asante Kaka controla Ni kweli mi mgeni ndo hvyo ktk kubofya bofya,, samahani sn ndugu yngu lkn n ktk kujifunza. Nashukuru
  4. D

    Biashara ya kuuza genge

    Ni kweli asee,, ht mi nimefuatilia madam nyingi nimeiona hili janga
Back
Top Bottom