Recent content by Da Sophy

  1. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sioni faida ya kalio kubwa kitandani

    Sijakuelewa una maana?
  2. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume wanapenda kwa vipande sio kitu kizima

    Wanapenda matunzo. Ukizubaa unatunziwa. Na ujue hakuna cha bure.
  3. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume wanapenda kwa vipande sio kitu kizima

    Hiyo haikuhusu. Keshawaambia ukweli. Ukubali ukatae ndo ukweli. Nampenda sana huyu mama
  4. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sioni faida ya kalio kubwa kitandani

    kiaje?
  5. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sioni faida ya kalio kubwa kitandani

    Sa iyo itakuwa kuchorana. Siwezi tuma picha humu. Afu mi mke mtu hata mume wangu alikuwaga humu sema siku hizi hapendeleagi tena mambo ya JF ni kama ameachana nayo hata simwonagi akiyasoma tena.
  6. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sioni faida ya kalio kubwa kitandani

    Sasa je. Tumbo la chini liko ka mviringo flani afu limeenda mbele hivi kidogo lakini halijashuka. Tako mwenyewe najikubali, liko vizuri.
  7. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mtu na shemeji yake wanapoangalia Filamu ya Ngono...

    ukute ndio umeshaanza kulegea kwa wiki mke unampa kamoja ka taaabu yani ka kutafuta na tochi. Halafu hapohapo umemletea damu changa ndani. Unataka afanyaje.
  8. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sioni faida ya kalio kubwa kitandani

    Mi nna kitambi flani cha kishkaji na kalio la ukweli. Sema hapo
  9. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sioni faida ya kalio kubwa kitandani

    Sema sizitaki mbichi hizi! Hujakutana na chura lililofundwa mbona ungejiapiza umechelewa wapi. Aliyepata kapata aliyekosa pole yake Hata mimi nimejaaliwa mashallahu na faida yake naiona na wenye kuijua faida na matumizi wanafaidika kupita maelezo. Pole kwa kukosa kalio. Pole weeeeee!
  10. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mtu na shemeji yake wanapoangalia Filamu ya Ngono...

    Walikuwa wanapashaaaaa! Kuna rafk ake mista alimfumania mkewe laiv anapelekewa moto na mtoto wa kakake yani aliepaswa amwite mamdogo. Alimkuta chumbani kwa huyo dogo. Unamkabizi fisi bucha kwa kujiamini na nini
  11. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mke wa kula naye uzee

    Tulia ulee wajukuu usitake kuwasababishia wenzio kesi za mada bureee! Yaani babu miaka hiyo tutawezanaaaa? Au ndio mwendo wa vumbi la kongo ukatufie vifuaniiii!
  12. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume wanapenda kwa vipande sio kitu kizima

    Umenifurahisha sana, Allah akubarikie mamaangu. Hivi inakuwaje watu wengine wasomi kabisa lakini hawajui kuwa mwanaume akikupenda wewe kwa sababu ya digirii yako na ingilishi yako huyohuyo atampenda mwengine kwa sababu ya mahabbat. Na huwezi kupewa vyote kwani we nani. Mwenyezi Mungu ndiye...
  13. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kudanga ilikuwa zamani

    Hesabu ya danga inapigiwa mbali kama mchezo wa bao. Na siyo ya vitu vidogovidogo. Enzi zile watu walichuna mabuzi unaambiwa buzi likilengeshwa laelekea lenyewe kibla. Lachunwa kwa ganzi, ni taratibu hadi kwenye mfupa hata wengine wakiwambia mwenyewe asema acheni kunionea wivu mwenzenu nala...
  14. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kudanga ilikuwa zamani

    Sema ulikuwa unanunua machangu kona bar
  15. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kudanga ilikuwa zamani

    Machangu tu
Back
Top Bottom