Basi ndugu yangu washauri hao wenzio waende Haki za Binadamu,nina uhakika watawasaidia hata ikiwezekana warudishwe mafunzoni.Watanzania tutaoneana mpaka lini jamani? Halafu haohao mwaka 2010 tunawapa kura zetu wakati chinichini wanatufanyia unyama.Nimepata website ya Haki za binadamu,watafuteni...
This is too much jamani,Serikali ya Tanzania ni ya kujuana. wenye nazo wanapata kirahisi lakini hatuwezi kukaa kimya,mimi mafunzo ya jeshi najua yanavyokuwa.imagine mtu ukae miezi miwili ukiwa na uhakika wa kazi halafu wanakufukuza?? Hapana,this has to go far. Ongeeni na waziri masha mumpe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.