Sasa mkuu ukikosa mwongozo kwenye eneo hilo jmarubusu hisia zikutawale ni wazi utafeli kwenye mengi mengine pia. Nidhamu ni muhimu sana katika eneo hilo
Umeongea jambo la msingi sana, kuwa ili muwe same page inabidi muelewe pamoja. Sio kwa kitabu hiki tu, bali hata pakiwepo semina za aina hii na wote mkasikia na kusikiliza. Inaongeza uzito zaidi.
Hata pale ambapo mmoja kazijua hizo kanuni (of which ni za kukumbushana, sema katika namna...
Hakuna ujanja ujanja boss. Wala hakuna motivation humo. Sikuandika kitabu kwa lengo. Ukweli ni kwamba hisia hisia tu na ujanja tu havikuwezeshi kutoboa katika life ya ndoa
Wazungu walisema ukitaka kumficha mtu maarifa, weka kwenye vitabu. Ni wakati sasa wa kukinzana na hoja hizo na kugundua yaliyopo ndani ya kava za vitabu.
Hata hivyo bado zipo namna nyingi za kufikisha ujumbe kwa wahusika kama ambavyo nitaainisha huko mbeleni.
Ndani ya kitabu hiki kilichosheheni ujuzi kuhusu ujana na ndoa, hakika utapata kuyajua mengi ambayo pengine awali ulitilia shaka, au hukuwa na hakika nayo. Kwa maelezo ya ziada karibuni DM
Awali ya yote sitakushauri, japo jina langu linaashiria ushauri. Nitakupa counseling ili mwisho wa siku ufanye maamuzi mwenyewe. Counseling inakupa mamlaka ya kuamua baada ya counselor kuweka bayana mbele yako mema na mabaya kuhusiana na hali uliyopo.
Kwanza jitafakari kama uamuzi unaotaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.