Recent content by d one

  1. d one

    Mtuhumiwa wa kosa gani huingia chumba cha mateso polisi?

    Uwiiii watu hamuelewagi km hujui c unyamaze tu Hapa nimeuliza then mnajibu ambalo cjauliza
  2. d one

    Mtuhumiwa wa kosa gani huingia chumba cha mateso polisi?

    Sawa ndio nauliza ni kosa gani linaloweza kumfikisha mtuhumiwa hicho chumba. Maana naona km hamjanielewa ningekuwa najua nisingeuliza
  3. d one

    Mtuhumiwa wa kosa gani huingia chumba cha mateso polisi?

    Wakuu nawasalimu Hivi chumba cha mateso police sana sana anaingizwa mtuhumiwa wa kosa gani? Au mtuhumiwa wa makosa yoyote anaweza pelekwa humo kwa ajili ya kusema ukweli wa jambo flani? Na je nani anatoa maamuzi ya mpaka mtuhumiwa kufikwishwa chumba cha mateso. Asanteni
  4. d one

    Ofa ya kunichagulia jina la duka.. bashite collection!

    Asalaam wakuu Ktk ile ofa yangu wengi wamenijia inbox na kupendekeza jina liwe bashite. Sasa nimeogopa kutengeneza bango maana hilo jina mmmh! Halitakuwa na shida kweli? Lisije kuniletea shida. Maoni yenu pls Kama litapita ofa itamwangukia aliekuwa wa kwanza kulitaja post iliyopita
  5. d one

    Uzi maalumu: Wanaotumia Kikuu na Jumia kufanya manunuzi mtandaoni

    Niliagiza pochi ilikuja kipochi kidogooooooooooo nikaagiza wallet ikaja mbovu kbs yaani ukiona picha na kitu halic ni tofauti kbs ni waongo.. na vyote vilikaa zaidi ya mwezi
  6. d one

    Ofa spesho kwa atakayeweza kubuni jina la duka langu!

    Nafatilia [emoji120][emoji120]
  7. d one

    Ofa spesho kwa atakayeweza kubuni jina la duka langu!

    Nafatilia.. .. na Mola akijalia wiki ijayo nitaleta mrejesho.. naomba mzidi kuja kwa wingi pia unaweza kupendekeza majina zaidi ya moja km unayo..
  8. d one

    Ofa spesho kwa atakayeweza kubuni jina la duka langu!

    Nimecheka hiyo bashite..
  9. d one

    Ofa spesho kwa atakayeweza kubuni jina la duka langu!

    Napendelea jina liwe la kiswahili
  10. d one

    Ofa spesho kwa atakayeweza kubuni jina la duka langu!

    Heshima kwenu wakuu Nimefungua biashara ya nguo za kiume. Na bei ya kila kitu nauza kwa bei nafuu kbs naweza sema nauza nusu bei ukilinganisha na maduka mengine. Hivyo nahitaji jina la duka ambalo litaendana na bei zangu nnazouza maana niko chini tofauti na kote wanakouza nguo kama zangu Na...
  11. d one

    Wanaume wote sinza mwenge na Dar nzima, karibu kujipatia nguo nzuri

    Km unahitaji mkoani nitakutumia Karibu
Back
Top Bottom